AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

1 0 3 anni fa
Muda umekuwa ni changamoto na kikwazo kwa wengi kufikia malengo yao ya kimaisha. Kila siku tumekuwa tunasema kama ningekuwa na muda wa ziada ninge.... Lakini siku zinakwenda na hatuoni kupatikana kwa muda huo wa ziada. Tunaamua kuzika ndoto zetu kwa sababu hatukupata muda wa kuzifanyia kazi. Vipi leo nikikuambia kwamba unaweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku? Ndiyo namaanisha masaa mawili, dakika 120 za ziada kwenye siku yako ya kawaida? Ni mangapi makubwa utaweza kuyafanya na kubadili ... Maggiori informazioni

Seguici su Facebook

iAB member
Copyright 2020 - Spreaker Inc. a Voxnest Company - Crea un podcast - New York, NY
Aiuto